Hosea 7:8
“Efraimu anajichanganya na mataifa; 2 Efraimu ni mkate ambao haukuiva. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Ephraim, he hath mixed himself among the people; Ephraim is a cake not turned.
In Context
Cross References
1 Kings 18:21Eliya akasimama mbele ya watu na kusema, “Mtasitasita katika mawazo mawili hadi lini? Ikiwa Bwana ndiye Mungu, mfuateni yeye; lakini ikiwa Baali ni Mungu, basi mfuateni yeye.” Lakini watu hawakusema kitu.
Ezra 9:12Kwa hiyo, msiwaoze binti zenu kwa wana wao wala binti zao kwa wana wenu. Msitafute mkataba wa urafiki nao kwa wakati wowote. Ndipo mtakapofanikiwa na kula mema ya nchi na kuwaachia watoto wenu nchi hiyo kama urithi wao wa milele.’
Psalms 106:35bali walijichanganya na mataifa 2 na wakazikubali desturi zao. 1
Hosea 5:7Wao si waaminifu kwa Bwana; 2 wamezaa watoto haramu. 1 Sasa sikukuu zao za Mwandamo wa Mwezi 2 zitawaangamiza wao 2 pamoja na mashamba yao. 1
Hosea 8:2Israeli ananililia, 2 ‘Ee Mungu wetu, tunakukubali!’ 1
Zephaniah 1:5wale ambao husujudu juu ya mapaa 2 kuabudu jeshi la vitu vya angani, 1 wale ambao husujudu na kuapa kwa Bwana 2 na ambao pia huapa kwa Malkamu, 1