Hosea 5:7
Wao si waaminifu kwa Bwana; 2 wamezaa watoto haramu. 1 Sasa sikukuu zao za Mwandamo wa Mwezi 2 zitawaangamiza wao 2 pamoja na mashamba yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 144:7Nyoosha mkono wako kutoka juu, 2 nikomboe na kuniokoa 1 kutoka maji makuu, 2 kutoka mikononi mwa wageni 1
Isaiah 48:8Hujayasikia wala kuyaelewa, 2 tangu zamani sikio lako halikufunguka. 1 Ninafahamu vyema jinsi ulivyo mdanganyifu, 2 uliitwa mwasi tangu kuzaliwa kwako. 1
Jeremiah 3:20Lakini kama mwanamke asiye mwaminifu kwa mumewe, 2 vivyo hivyo mmekosa uaminifu kwangu pia, ee nyumba ya Israeli,” 4 asema Bwana. 1
Ezekiel 12:28“Kwa hiyo, waambie, ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Hakuna maneno yangu yatakayocheleweshwa tena zaidi, lolote nisemalo litatimizwa, asema Bwana Mwenyezi.’ ”
Hosea 2:11Nitakomesha furaha na macheko yake yote: 2 sikukuu zake za mwaka, 2 sikukuu za Miandamo ya Mwezi, 2 siku zake za Sabato, 2 sikukuu zake zote zilizoamriwa. 1
Hosea 7:13Ole wao, kwa sababu 2 wamepotoka kutoka kwangu! 1 Maangamizi ni yao 2 kwa sababu wameniasi! 1 Ninatamani kuwakomboa, 2 lakini wanasema uongo dhidi yangu. 1