Hosea 8:14
Israeli amemsahau Muumba wake 2 na kujenga majumba ya kifalme, 2 Yuda amejengea miji mingi ngome. 1 Lakini nitatuma moto kwenye miji yao 2 utakaoteketeza ngome zao.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:18Mkamwacha Mwamba, aliyewazaa ninyi; 2 mkamsahau Mungu aliyewazaa. 1
1 Kings 16:31Kama vile haikutosha kuishi kama Yeroboamu mwana wa Nebati, akamwoa Yezebeli binti wa Ethbaali, mfalme wa Wasidoni, naye akaanza kumtumikia Baali na kumwabudu.
2 Chronicles 26:10Akajenga pia minara jangwani na kuchimba visima vingi vya maji, kwa sababu alikuwa na mifugo mingi chini ya vilimani na kwenye nchi tambarare. Alikuwa na watu wanaofanya kazi katika mashamba yake na kwenye mashamba yake ya mizabibu huko vilimani na katika ardhi zenye rutuba, kwa kuwa aliupenda udongo.
Psalms 106:21Walimsahau Mungu aliyewaokoa, 2 aliyekuwa ametenda mambo makuu huko Misri, 1
Isaiah 22:8ulinzi wa Yuda umeondolewa. 1 Nawe ulitazama siku ile 2 silaha katika Jumba la Kifalme la Mwituni, 1
Isaiah 42:13Bwana ataenda kama mtu mwenye nguvu, 2 kama shujaa atachochea shauku yake, 1 kwa kelele ataamsha kilio cha vita, 2 naye atashinda adui zake. 1