The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 42 › Isaiah 42:13

Isaiah 42:13

Bwana ataenda kama mtu mwenye nguvu, 2 kama shujaa atachochea shauku yake, 1 kwa kelele ataamsha kilio cha vita, 2 naye atashinda adui zake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The LORD shall go forth as a mighty man, he shall stir up jealousy like a man of war: he shall cry, yea, roar; he shall prevail against his enemies.

In Context

12Wampe Bwana utukufu, 2 na kutangaza sifa zake katika visiwa. 1

14“Kwa muda mrefu nimenyamaza kimya, 2 nimekaa kimya na kujizuia. 1 Lakini sasa, kama mwanamke wakati wa kujifungua, 2 ninapiga kelele, ninatweta na kushusha pumzi. 1

Read all of Isaiah 42

Cross References

Psalms 78:65Ndipo Bwana alipoamka kama vile kuamka usingizini, 2 kama vile mtu aamkavyo kutoka kwenye bumbuazi la mvinyo. 1

Psalms 118:16Mkono wa kuume wa Bwana 2 umeinuliwa juu, 1 mkono wa kuume wa Bwana 2 umetenda mambo makuu!” 1

Isaiah 26:11Ee Bwana, mkono wako umeinuliwa juu, 2 lakini hawauoni. 1 Wao na waone wivu wako kwa ajili ya watu wako tena waaibishwe, 2 moto uliowekwa akiba kwa ajili ya adui zako na uwateketeze. 1

Isaiah 59:16Aliona kuwa hakuwepo hata mtu mmoja, 2 akashangaa kwamba hakuwepo hata mmoja wa kuingilia kati; 1 hivyo mkono wake mwenyewe 2 ndio uliomfanyia wokovu, 1 nayo haki yake mwenyewe 2 ndiyo iliyomtegemeza. 1

Isaiah 63:1Ni nani huyu anayekuja kutoka Edomu, 2 kutoka Bosra, mwenye mavazi yaliyotiwa madoa mekundu? 1 Ni nani huyu, aliyevikwa joho la kifahari, 2 anayetembea kwa ukuu wa nguvu zake? 1 “Mimi ndimi, nisemaye katika haki, 2 mwenye nguvu wa kuokoa.” 1

Jeremiah 25:30“Basi sasa toa unabii kwa maneno haya yote dhidi yao, uwaambie: 1 “ ‘ Bwana atanguruma kutoka juu; 2 atatoa sauti ya ngurumo 2 kutoka makao yake matakatifu 1 na kunguruma kwa nguvu sana 2 dhidi ya nchi yake. 1 Atapiga kelele kama wao wakanyagao zabibu, 2 atapiga kelele dhidi ya wote waishio duniani. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 42:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 42:12Isaiah 42Isaiah 42:14 →