Hosea 8:3
Lakini Israeli amekataa lile lililo jema, 2 adui atamfuatia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Israel hath cast off the thing that is good: the enemy shall pursue him.
In Context
2Israeli ananililia, 2 ‘Ee Mungu wetu, tunakukubali!’ 1
Cross References
Deuteronomy 28:25Bwana atakufanya ushindwe mbele ya adui zako. Utawajia kwa njia moja lakini utawakimbia mbele yao kwa njia saba, nawe utakuwa kitu cha kuchukiza kwa falme zote za dunia.
Psalms 81:10Mimi ni Bwana Mungu wako, 2 niliyekutoa nchi ya Misri. 1 Panua sana kinywa chako 2 nami nitakijaza. 1
Lamentations 4:19Waliotufuatia walikuwa wepesi 2 kuliko tai angani; 2 walitusaka juu milimani 2 na kutuvizia jangwani. 1
1 Timothy 5:12Nao kwa njia hiyo watajiletea hukumu kwa kukiuka ahadi yao ya kwanza.