Hosea 8:4
Wanaweka wafalme bila idhini yangu, 2 wamechagua wakuu bila kibali changu. 1 Kwa fedha zao na dhahabu 2 wamejitengenezea sanamu kwa ajili 2 ya maangamizi yao wenyewe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Lakini Israeli amekataa lile lililo jema, 2 adui atamfuatia. 1
Cross References
1 Kings 12:28Baada ya kutafuta shauri, mfalme akatengeneza ndama wawili wa dhahabu. Akawaambia watu, “Ni gharama kubwa kwenu kukwea kwenda Yerusalemu. Hii hapa miungu yenu, ee Israeli, iliyowapandisha kutoka Misri.”
1 Kings 16:31Kama vile haikutosha kuishi kama Yeroboamu mwana wa Nebati, akamwoa Yezebeli binti wa Ethbaali, mfalme wa Wasidoni, naye akaanza kumtumikia Baali na kumwabudu.
Jeremiah 44:7“Basi hili ndilo Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: Kwa nini kujiletea maafa makubwa kama haya juu yenu kwa kujikatilia mbali kutoka Yuda wanaume na wanawake, watoto na wanyonyao, hata kujiacha bila mabaki?
Hosea 2:8Gomeri hajakubali kuwa mimi ndiye 2 niliyempa nafaka, divai mpya na mafuta, 1 niliyemwongezea fedha na dhahabu waliyoitumia 2 kwa kumtumikia Baali. 1
Hosea 13:9“Ee Israeli, umeangamizwa, 2 kwa sababu wewe u kinyume nami, 2 kinyume na msaidizi wako. 1
Luke 13:25Wakati mwenye nyumba atakapoondoka na kufunga mlango, mtasimama nje mkibisha mlango na kusema, ‘Bwana! Tufungulie mlango!’ “Lakini yeye atawajibu, ‘Siwajui ninyi, wala mtokako.’