Hosea 9:11
Utukufu wa Efraimu utaruka kama ndege: 2 hakuna kuzaa, hakuna kuchukua mimba, 2 hakuna kutunga mimba. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Hata wakilea watoto, 2 nitamuua kila mmoja. 1 Ole wao 2 nitakapowapiga kisogo! 1
Cross References
Genesis 41:52Mwana wa pili akamwita Efraimu, akisema, “Ni kwa sababu Mungu amenistawisha katika nchi ya mateso yangu.”
Genesis 49:22“Yosefu ni mzabibu uzaao, 2 mzabibu uzaao ulio kando ya chemchemi, 2 ambao matawi yake hutanda ukutani. 1
Deuteronomy 28:57kondoo wa nyuma kutoka kwenye tumbo lake na watoto anaowazaa. Kwa kuwa anakusudia kuwala kwa siri wakati wa kuzingirwa na katika taabu zile ambazo adui yako atazileta juu yako na miji yako.
2 Samuel 6:23Naye Mikali binti Sauli hakuwa na watoto mpaka siku ya kufa kwake.
Job 18:18Ameondolewa nuruni na kusukumiwa gizani, 2 naye amefukuzwa mbali atoke duniani. 1
Ecclesiastes 6:3Mtu anaweza kuwa na watoto mia moja naye akaishi miaka mingi, lakini haidhuru kuwa ataishi muda mrefu kiasi gani, kama hawezi kufurahia mafanikio yake na kwamba hapati mazishi ya heshima, ninasema afadhali mtoto aliyezaliwa akiwa amekufa kuliko yeye.