The Bible Software
bible.software › Hosea › Hosea 9 › Hosea 9:12

Hosea 9:12

Hata wakilea watoto, 2 nitamuua kila mmoja. 1 Ole wao 2 nitakapowapiga kisogo! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Though they bring up their children, yet will I bereave them, that there shall not be a man left: yea, woe also to them when I depart from them!

In Context

11Utukufu wa Efraimu utaruka kama ndege: 2 hakuna kuzaa, hakuna kuchukua mimba, 2 hakuna kutunga mimba. 1

13Nimemwona Efraimu, kama Tiro, 2 aliyeoteshwa mahali pazuri. 1 Lakini Efraimu wataleta 2 watoto wao kwa mchinjaji.” 1

Read all of Hosea 9

Cross References

Numbers 14:34Kwa miaka arobaini, mwaka mmoja kwa kila siku katika zile siku arobaini mlizoipeleleza nchi, mtateseka kwa ajili ya dhambi zenu, na kujua jinsi ilivyo vibaya kunifanya mimi kuwa adui yenu.’

Deuteronomy 28:18Uzao wa tumbo lako utalaaniwa, mazao ya ardhi yako, ndama wa makundi yako ya ngʼombe na wana-kondoo wa makundi yako.

Deuteronomy 28:41Utakuwa na wana na binti lakini hawatakuwa nawe, kwa sababu watachukuliwa mateka.

Deuteronomy 32:25Barabarani upanga utawakosesha watoto; 2 nyumbani mwao hofu itatawala. 1 Vijana wao wa kiume na wa kike wataangamia, 2 pia watoto wachanga na wazee wenye mvi. 1

1 Samuel 16:14Basi Roho wa Bwana alikuwa ameondoka kwa Sauli, nayo roho mbaya ikaachiwa nafasi na Bwana ili imtese.

2 Kings 17:18Basi Bwana akawakasirikia sana Israeli na kuwaondoa kwenye uwepo wake. Ni kabila la Yuda tu lililobaki;

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 9:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 9:11Hosea 9Hosea 9:13 →