The Bible Software
bible.softwareHoseaHosea 9 › Hosea 9:7

Hosea 9:7

Siku za adhabu zinakuja, 2 siku za malipo zimewadia. 2 Israeli na afahamu hili. 1 Kwa sababu dhambi zenu ni nyingi sana 2 na uadui wenu ni mkubwa sana, 1 nabii anadhaniwa ni mpumbavu, 2 mtu aliyeongozwa na Mungu 2 anaonekana mwendawazimu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The days of visitation are come, the days of recompence are come; Israel shall know it: the prophet is a fool, the spiritual man is mad, for the multitude of thine iniquity, and the great hatred.

In Context

6Hata ikiwa wataokoka maangamizi, 2 Misri atawakusanya, 2 nayo Memfisi + 9:6 Memfisi kwa Kiebrania ni Nofu. itawazika. 1 Hazina zao za fedha zitasongwa na michongoma, 2 nayo miiba itafunika mahema yao. 1

8Nabii, pamoja na Mungu wangu, 2 ndiye mlinzi juu ya Efraimu, 1 hata hivyo mitego inamngojea 2 katika mapito yake yote, 2 na uadui katika nyumba ya Mungu wake. 1

Read all of Hosea 9

Cross References

Isaiah 10:3Mtafanya nini siku ya kutoa hesabu, 2 wakati maafa yatakapokuja kutoka mbali? 1 Mtamkimbilia nani awape msaada? 2 Mtaacha wapi mali zenu? 1

Isaiah 34:8Kwa sababu Bwana anayo siku ya kulipiza kisasi, 2 mwaka wa malipo, 2 siku ya kushindania shauri la Sayuni. 1

Jeremiah 6:14Wanafunga majeraha ya watu wangu 2 bila uangalifu. 1 Wanasema, ‘Amani, amani,’ 2 wakati hakuna amani. 1

Jeremiah 10:15Havifai kitu, ni vitu vya kufanyia mzaha tu, 2 hukumu yavyo itakapowadia, vitaangamia. 1

Jeremiah 16:18Nitawalipiza maradufu kwa ajili ya uovu wao na dhambi yao, kwa sababu wameinajisi nchi yangu kwa maumbo yasiyo na uhai ya vinyago vyao vibaya, na kuujaza urithi wangu na sanamu za kuchukiza.” 1

Jeremiah 29:26‘ Bwana amekuweka wewe uwe kuhani badala ya Yehoyada ili uwe msimamizi wa nyumba ya Bwana. Unapaswa kufunga kwa mikatale na mnyororo wa shingoni mwendawazimu yeyote anayejifanya nabii.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 9:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 9:6Hosea 9Hosea 9:8 →