The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 10 › Isaiah 10:3

Isaiah 10:3

Mtafanya nini siku ya kutoa hesabu, 2 wakati maafa yatakapokuja kutoka mbali? 1 Mtamkimbilia nani awape msaada? 2 Mtaacha wapi mali zenu? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And what will ye do in the day of visitation, and in the desolation which shall come from far? to whom will ye flee for help? and where will ye leave your glory?

In Context

2kuwanyima maskini haki zao 2 na kuzuilia haki za watu wangu walioonewa, 1 kuwafanya wajane mawindo yao 2 na kuwanyangʼanya yatima. 1

4Hakutasalia kitu chochote, 2 isipokuwa kujikunyata miongoni mwa mateka, 2 au kuanguka miongoni mwa waliouawa. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1 Hukumu Ya Mungu Juu Ya Ashuru 1

Read all of Isaiah 10

Cross References

Deuteronomy 28:49Bwana ataleta taifa dhidi yako kutoka mbali, kutoka miisho ya dunia, kama tai ashukiavyo mawindo chini, taifa ambalo hutaijua lugha yake,

2 Kings 7:15Wakawafuatia hadi Yordani, nao wakakuta barabara yote ikiwa imetapakaa nguo na vyombo vya Waaramu walivyokuwa wamevitupa walipokuwa wanatoroka. Basi wale wajumbe wakarudi na kutoa taarifa kwa mfalme.

Psalms 49:16Usitishwe mtu anapotajirika, 2 fahari ya nyumba yake inapoongezeka, 1

Isaiah 2:20Siku ile, watu watawatupia 2 panya na popo 1 sanamu zao za fedha na za dhahabu, 2 walizozitengeneza ili waziabudu. 1

Isaiah 5:26Yeye anainua bendera kwa ajili ya mataifa yaliyo mbali, 2 anapiga filimbi kwa ajili ya wale walio kwenye miisho ya dunia. 1 Tazama wamekuja, 2 kwa kasi na kwa haraka! 1

Isaiah 26:21Tazama, Bwana anakuja kutoka makao yake 2 ili kuwaadhibu watu wa dunia kwa ajili ya dhambi zao. 1 Dunia itadhihirisha umwagaji damu juu yake, 2 wala haitaendelea kuwaficha watu wake waliouawa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 10:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 10:2Isaiah 10Isaiah 10:4 →