The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 10 › Isaiah 10:29

Isaiah 10:29

Wanavuka kivukoni, nao wanasema, 2 “Tutapiga kambi huko Geba usiku kucha.” 1 Rama inatetemeka; 2 Gibea ya Sauli inakimbia. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They are gone over the passage: they have taken up their lodging at Geba; Ramah is afraid; Gibeah of Saul is fled.

In Context

28Wanaingia Ayathi, 2 wanapita katikati ya Migroni, 2 wanahifadhi mahitaji huko Mikmashi. 1

30Piga kelele, ee Binti Galimu! 2 Sikiliza, ee Laisha! 2 Maskini Anathothi! 1

Read all of Isaiah 10

Cross References

Joshua 18:25Gibeoni, Rama na Beerothi,

Judges 19:12Lakini bwana wake akamjibu, “Hapana. Hatutaingia kwenye mji wa kigeni, ambao watu wake si Waisraeli. Tutaendelea mpaka tufike Gibea.”

1 Samuel 7:17Lakini kila mara alirudi Rama, kulikokuwa nyumbani kwake, huko pia aliwaamua Israeli. Naye huko alimjengea Bwana madhabahu.

1 Samuel 13:2Sauli alichagua watu 3,000 kutoka Israeli; miongoni mwa hao watu 2,000 walikuwa pamoja naye huko Mikmashi na katika nchi ya vilima ya Betheli, nao watu 1,000 walikuwa pamoja na Yonathani huko Gibea ya Benyamini. Watu waliosalia aliwarudisha nyumbani mwao.

1 Samuel 13:23Basi kikosi cha Wafilisti kilikuwa kimetoka kuelekea njia iendayo Mikmashi.

1 Samuel 14:4Kila upande wa njia ambayo Yonathani alikusudia kupita ili kuvuka kufikia doria ya Wafilisti kulikuwepo na jabali; moja lilikuwa linaitwa Bosesi, na jingine Sene.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 10:29

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 10:28Isaiah 10Isaiah 10:30 →