Isaya 10:28
Wanaingia Ayathi, 2 wanapita katikati ya Migroni, 2 wanahifadhi mahitaji huko Mikmashi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He is come to Aiath, he is passed to Migron; at Michmash he hath laid up his carriages:
In Context
Cross References
Judges 18:21Ndipo wakageuka na kuondoka wakiwatanguliza mbele watoto wao wadogo, wanyama wao wa kufugwa na mali zao.
1 Samuel 13:5Wafilisti wakakusanyika ili kupigana na Israeli, wakiwa na magari ya vita 3,000, waendesha magari ya vita 6,000 na askari wa miguu wengi kama mchanga wa ufuoni mwa bahari. Walipanda na kupiga kambi huko Mikmashi, mashariki ya Beth-Aveni.
1 Samuel 14:2Sauli alikuwa akikaa kwenye viunga vya Gibea chini ya mkomamanga huko Migroni. Alikuwa pamoja na watu kama 600,
1 Samuel 14:31Siku ile baada ya Waisraeli kuwaua Wafilisti kutoka Mikmashi mpaka Aiyaloni, walikuwa wamechoka.
Nehemiah 11:31Wazao wa Wabenyamini kutoka Geba waliishi Mikmashi, Aiya, Betheli na makazi yake,
Micah 1:9Kwa sababu jeraha lake halitibiki; 2 limekuja Yuda. 1 Limefika hasa kwenye lango la watu wangu, 2 hata Yerusalemu kwenyewe. 1