Isaya 11:15
Bwana atakausha 2 ghuba ya bahari ya Misri; 1 kwa upepo mkavu ataupeleka mkono wake 2 juu ya Mto Frati. 1 Ataugawanya katika vijito saba 2 ili watu waweze kuuvuka wakiwa wamevaa viatu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 14:21Ndipo Mose akanyoosha mkono wake juu ya bahari, naye Bwana akayasukuma maji ya bahari nyuma kwa upepo mkali wa mashariki usiku ule wote na kupafanya nchi kavu. Maji yakagawanyika,
Exodus 14:29Lakini Waisraeli wakapita baharini mahali pakavu, ukiwepo ukuta wa maji upande wao wa kuume na upande wao wa kushoto.
Isaiah 7:20Katika siku ile Bwana atatumia wembe ulioajiriwa kutoka ngʼambo ya Mto, + 7:20 Yaani Frati. yaani mfalme wa Ashuru, kunyoa nywele za kichwa chako na malaika ya miguu yako, na kuziondoa ndevu zako pia.
Isaiah 19:16Katika siku ile Wamisri watakuwa kama wanawake. Watatetemeka kwa hofu mbele ya mkono wa Bwana Mwenye Nguvu Zote anaoinua dhidi yao.
Isaiah 51:9Amka, Amka! Jivike nguvu, 2 ewe mkono wa Bwana, 1 Amka, kama siku zilizopita, 2 kama vile vizazi vya zamani. 1 Si ni wewe uliyemkata Rahabu vipande vipande, 2 uliyemchoma yule joka? 1
Ezekiel 30:12Nitakausha vijito vya Naili 2 na nitaiuza nchi kwa watu waovu, 1 kwa mkono wa wageni, 2 nitaifanya nchi ukiwa na kila kitu 2 kilichomo ndani yake. Mimi Bwana nimenena haya.