Isaya 51:9
Amka, Amka! Jivike nguvu, 2 ewe mkono wa Bwana, 1 Amka, kama siku zilizopita, 2 kama vile vizazi vya zamani. 1 Si ni wewe uliyemkata Rahabu vipande vipande, 2 uliyemchoma yule joka? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 6:13Gideoni akajibu, “Ee Bwana wangu, kama Bwana yu pamoja nasi, mbona mambo haya yote yametutokea? Yako wapi basi yale matendo yake makuu baba zetu waliyotusimulia juu yake waliposema, ‘Je, Bwana hakutupandisha kutoka Misri?’ Lakini sasa Bwana ametuacha na kututia katika mkono wa Midiani.”
Job 26:12Kwa nguvu zake aliisukasuka bahari; 2 kwa hekima yake alimkata Rahabu + 26:12 Rahabu hapa ni fumbo la kumaanisha Lewiathani, mnyama mkubwa wa baharini mwenye magamba anayefanana na joka kubwa, mwenye umbo la kutisha, asiyeweza kuvuliwa. vipande vipande. 1
Psalms 21:13Ee Bwana, utukuzwe katika nguvu zako, 2 tutaimba na kusifu nguvu zako.
Psalms 44:2Kwa mkono wako uliwafukuza mataifa 2 na ukawapanda baba zetu, 1 uliangamiza mataifa 2 na kuwastawisha baba zetu. 1
Psalms 44:24Kwa nini unauficha uso wako 2 na kusahau taabu na mateso yetu? 1
Psalms 74:13Ni wewe uliyeigawanya bahari kwa uweza wako; 2 ulivunja vichwa vya wanyama wakubwa wa kutisha katika maji. 1