Isaiah 12:5
Mwimbieni Bwana, kwa kuwa ametenda mambo makuu, 2 hili na lijulikane duniani kote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Sing unto the LORD; for he hath done excellent things: this is known in all the earth.
In Context
Cross References
Exodus 15:1Ndipo Mose na Waisraeli wakamwimbia Bwana wimbo huu: 1 “Nitamwimbia Bwana, 2 kwa kuwa ametukuzwa sana. 1 Farasi na mpanda farasi 2 amewatosa baharini. 1
Psalms 68:32Mwimbieni Mungu, enyi falme za dunia, 2 mwimbieni Bwana sifa, 1
Psalms 98:1Mwimbieni Bwana wimbo mpya, 2 kwa maana ametenda mambo ya ajabu; 1 kitanga chake cha kuume na mkono wake mtakatifu 2 umemfanyia wokovu. 1
Isaiah 40:9Wewe uletaye habari njema Sayuni, 2 panda juu ya mlima mrefu. 1 Wewe uletaye habari njema Yerusalemu, 2 inua sauti yako kwa kupiga kelele, 2 inua sauti, usiogope; 1 iambie miji ya Yuda, 2 “Yuko hapa Mungu wenu!” 1
Revelation 11:15Yule malaika wa saba akaipiga tarumbeta yake, pakawa na sauti kubwa mbinguni iliyosema: 1 “Ufalme wa ulimwengu umekuwa ufalme wa Bwana wetu na wa Kristo wake, 2 naye atatawala milele na milele.”
Revelation 19:1Baada ya haya nikasikia sauti kama ya umati mkubwa mbinguni wakipiga kelele wakisema: 1 “Haleluya! 1 Wokovu na utukufu na uweza ni vya Mungu wetu, 2