Isaiah 13:5
Wanakuja kutoka nchi za mbali sana, 2 kutoka miisho ya mbingu, 1 Bwana na silaha za ghadhabu yake, 2 kuangamiza nchi yote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 5:26Yeye anainua bendera kwa ajili ya mataifa yaliyo mbali, 2 anapiga filimbi kwa ajili ya wale walio kwenye miisho ya dunia. 1 Tazama wamekuja, 2 kwa kasi na kwa haraka! 1
Isaiah 24:1Tazama, Bwana ataifanya dunia kuwa ukiwa 2 na kuiharibu, 1 naye atauharibu uso wake 2 na kutawanya wakaao ndani yake: 1
Jeremiah 50:9Kwa maana nitaamsha na kuleta dhidi ya Babeli 2 muungano wa mataifa makubwa kutoka nchi ya kaskazini. 1 Watashika nafasi zao dhidi yake, 2 naye kutokea kaskazini atatekwa. 1 Mishale yao itakuwa kama mishale ya mashujaa walio hodari, 2 ambao hawawezi kurudi mikono mitupu. 1
Jeremiah 51:11“Noeni mishale, 2 chukueni ngao! 1 Bwana amewaamsha wafalme wa Wamedi, 2 kwa sababu nia yake ni kuangamiza Babeli. 1 Bwana atalipiza kisasi, 2 kisasi kwa ajili ya Hekalu lake. 1
Matthew 24:31Naye atawatuma malaika zake kwa sauti kuu ya tarumbeta, nao watawakusanya wateule wake kutoka pande zote nne za dunia, kutoka mwisho mmoja wa mbingu hadi mwisho mwingine.