Isaya 5:26
Yeye anainua bendera kwa ajili ya mataifa yaliyo mbali, 2 anapiga filimbi kwa ajili ya wale walio kwenye miisho ya dunia. 1 Tazama wamekuja, 2 kwa kasi na kwa haraka! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 72:8Atatawala kutoka bahari hadi bahari 2 na kutoka Mto + 72:8 Yaani Mto Frati. mpaka miisho ya dunia. 1
Isaiah 10:3Mtafanya nini siku ya kutoa hesabu, 2 wakati maafa yatakapokuja kutoka mbali? 1 Mtamkimbilia nani awape msaada? 2 Mtaacha wapi mali zenu? 1
Isaiah 13:2Twekeni bendera juu ya mlima usio na kitu, 2 wapazieni sauti, 1 wapungieni mkono waingie 2 katika malango ya wenye heshima. 1
Isaiah 18:3Enyi mataifa yote ya ulimwengu, 2 ninyi mnaoishi duniani 1 wakati bendera itakapoinuliwa milimani, 2 mtaiona, 1 nayo tarumbeta itakapolia, 2 mtaisikia. 1
Isaiah 39:3Ndipo nabii Isaya akaenda kwa Mfalme Hezekia na kumuuliza, “Watu hao walisema nini, na wametoka wapi?” Hezekia akamjibu, “Wametoka nchi ya mbali. Walikuja kwangu kutoka Babeli.”
Jeremiah 5:15Ee nyumba ya Israeli,” asema Bwana, 2 “Ninaleta taifa toka mbali dhidi yako, 1 taifa la kale na linaloendelea kudumu, 2 taifa ambalo lugha yao huijui, 2 wala msemo wao huwezi kuuelewa. 1