Isaiah 14:28
Neno hili lilikuja mwaka ule Mfalme Ahazi alipofariki: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In the year that king Ahaz died was this burden.
In Context
Cross References
2 Chronicles 28:25Katika kila mji wa Yuda akajenga mahali pa juu pa kuabudia miungu ili kutolea miungu mingine kafara za kuteketezwa na kuchochea hasira ya Bwana, Mungu wa baba zake.
Isaiah 6:1Katika mwaka ule Mfalme Uzia alikufa, nilimwona Bwana ameketi katika kiti cha enzi, kilicho juu na kilichotukuzwa sana, nalo pindo la joho lake likajaza Hekalu.
Ezekiel 25:15“Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: ‘Kwa sababu Wafilisti wamewalipiza kisasi kwa uovu wa mioyo yao na kwa uadui wa siku nyingi wakataka kuangamiza Yuda,