The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 14 › Isaya 14:31

Isaya 14:31

Piga yowe, ee lango! Bweka, ee mji! 2 Yeyukeni, enyi Wafilisti wote! 1 Wingu la moshi linakuja toka kaskazini, 2 wala hakuna atakayechelewa katika safu zake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Howl, O gate; cry, O city; thou, whole Palestina, art dissolved: for there shall come from the north a smoke, and none shall be alone in his appointed times.

In Context

30Maskini kuliko maskini wote watapata malisho, 2 nao wahitaji watalala salama. 1 Lakini mzizi wako nitauangamiza kwa njaa, 2 nayo njaa itawaua walionusurika. 1

32Ni jibu gani litakalotolewa 2 kwa wajumbe wa taifa hilo? 1 “ Bwana ameifanya imara Sayuni, 2 nako ndani yake watu wake walioonewa watapata kimbilio.”

Read all of Isaya 14

Cross References

Isaiah 13:6Ombolezeni, kwa maana siku ya Bwana i karibu, 2 itakuja kama uharibifu kutoka kwa Mwenyezi. + 13:6 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. 1

Isaiah 16:7Kwa hiyo Wamoabu wanaomboleza, 2 wanaiombolezea Moabu kwa pamoja. 1 Wanaomboleza na kuhuzunika 2 kwa ajili ya watu wa Kir-Haresethi. 1

Isaiah 24:12Mji umeachwa katika uharibifu, 2 lango lake limevunjwa vipande. 1

Jeremiah 25:16Watakapoinywa, watapepesuka na kukasirika sana kwa sababu ya upanga nitakaoupeleka katikati yao.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 14:31

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 14:30Isaya 14Isaya 14:32 →