The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 15 › Isaya 15:8

Isaya 15:8

Mwangwi wa kilio chao umefika hadi mpakani mwa Moabu, 2 kilio chao cha huzuni kimefika hadi Eglaimu, 2 maombolezo yao hadi Beer-Elimu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the cry is gone round about the borders of Moab; the howling thereof unto Eglaim, and the howling thereof unto Beer-elim.

In Context

7Kwa hiyo mali waliyoipata na kujiwekea akiba 2 wamezichukua na kuvuka Bonde la Mierebi. 1

9Maji ya Dimoni yamejaa damu, 2 lakini bado nitaleta pigo jingine juu ya Dimoni: 1 simba juu ya wakimbizi wa Moabu 2 na juu ya wale wanaobaki katika nchi.

Read all of Isaya 15

Cross References

Isaiah 15:2Diboni anakwea hadi kwenye hekalu lake, 2 mpaka mahali pake pa juu ili walie, 2 Moabu anaombolezea Nebo na Medeba. 1 Kila kichwa kimenyolewa 2 na kila ndevu limeondolewa. 1

Jeremiah 48:31Kwa hiyo namlilia Moabu, 2 kwa ajili ya Moabu yote ninalia, 1 ninaomboleza kwa ajili 2 ya watu wa Kir-Haresethi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 15:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 15:7Isaya 15Isaya 15:9 →