Isaya 15:9
Maji ya Dimoni yamejaa damu, 2 lakini bado nitaleta pigo jingine juu ya Dimoni: 1 simba juu ya wakimbizi wa Moabu 2 na juu ya wale wanaobaki katika nchi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 26:18“ ‘Kama baada ya haya yote hamtanisikiliza, nitawaadhibu mara saba zaidi kwa ajili ya dhambi zenu.
Leviticus 26:24mimi mwenyewe nitaweka uadui nanyi, na kuwatesa kwa ajili ya dhambi zenu mara saba zaidi.
Numbers 21:30“Lakini tumewashinda; 2 Heshboni umeharibiwa hadi Diboni. 1 Tumebomoa hadi kufikia Nofa, 2 ulioenea hadi Medeba.”
Jeremiah 15:3Bwana asema, “Nitatuma aina nne za waharabu dhidi yao: nazo ni upanga ili kuua na mbwa ili wakokote mbali, ndege wa angani na wanyama wa nchi ili kula na kuangamiza.
Jeremiah 50:17“Israeli ni kundi lililotawanyika 2 ambalo simba wamelifukuzia mbali. 1 Wa kwanza kumla alikuwa mfalme wa Ashuru, 2 wa mwisho kuponda mifupa yake 2 alikuwa Nebukadneza mfalme wa Babeli.”