Isaiah 2:1
Hili ndilo aliloliona Isaya mwana wa Amozi kuhusu Yuda na Yerusalemu:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The word that Isaiah the son of Amoz saw concerning Judah and Jerusalem.
In Context
Cross References
Isaiah 13:1Neno kuhusu Babeli ambalo Isaya mwana wa Amozi aliliona: 1
Micah 1:1Neno la Bwana lilimjia Mika, Mmoreshethi, wakati wa utawala wa Yothamu, Ahazi na Hezekia, wafalme wa Yuda; ufunuo aliouona kuhusu Samaria na Yerusalemu. 1
Micah 6:9Sikiliza! Bwana anauita mji: 2 kulicha jina lako ni hekima: 2 “Tii hiyo fimbo na yeye aliyeiamuru. 1