Micah 6:9
Sikiliza! Bwana anauita mji: 2 kulicha jina lako ni hekima: 2 “Tii hiyo fimbo na yeye aliyeiamuru. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 21:1Wakati wa utawala wa Daudi kulikuwa na njaa kwa miaka mitatu mfululizo, kwa hiyo Daudi akautafuta uso wa Bwana. Bwana akasema, “Ni kwa sababu ya Sauli na nyumba yake iliyotiwa madoa ya damu, kwa sababu aliwaua Wagibeoni.”
Job 5:6Kwa maana taabu haioti kutoka kwenye udongo, 2 wala udhia hauchipui kutoka ardhini. 1
Job 10:2Nitamwambia Mungu: Usinihukumu, 2 bali niambie una mashtaka gani dhidi yangu. 1
Psalms 9:16Bwana anajulikana kwa haki yake, 2 waovu wamenaswa katika kazi za mikono yao. 1
Psalms 83:18Hebu wajue kwamba wewe, ambaye jina lako ni Bwana, 2 kwamba wewe peke yako ndiwe Uliye Juu Sana ya dunia yote.
Proverbs 22:3Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha, 2 bali mjinga huendelea mbele kama kipofu nayo ikamtesa. 1