Isaiah 22:9
mkaona kuwa Mji wa Daudi 2 una matundu mengi katika ulinzi wake, 1 mkaweka akiba ya maji 2 kwenye Bwawa la Chini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8ulinzi wa Yuda umeondolewa. 1 Nawe ulitazama siku ile 2 silaha katika Jumba la Kifalme la Mwituni, 1
10Mlihesabu majengo katika Yerusalemu 2 nanyi mkabomoa nyumba ili kuimarisha ukuta. 1
Cross References
2 Chronicles 32:1Baada ya yale yote aliyokuwa amefanya Hezekia kwa uaminifu mkubwa, Senakeribu mfalme wa Ashuru akaja na kuvamia Yuda. Akaizunguka miji yenye ngome kwa jeshi, akifikiri kuiteka iwe yake.
2 Chronicles 32:5Hezekia akafanya kazi kwa bidii kukarabati sehemu zote zilizokuwa zimebomoka za ukuta na kujenga minara juu yake. Akajenga ukuta mwingine nje ya ule uliokuwepo na kuimarisha Milo + 32:5 Milo maana yake Boma la Ngome. katika Mji wa Daudi. Akatengeneza pia silaha nyingi na ngao.
Nehemiah 3:16Baada yake, Nehemia mwana wa Azbuki, mtawala wa nusu ya wilaya ya Beth-Suri, alikarabati kufikia mkabala na makaburi ya Daudi, mpaka kwenye bwawa lililotengenezwa, na kufikia Nyumba ya Mashujaa.