The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 22 › Isaiah 22:10

Isaiah 22:10

Mlihesabu majengo katika Yerusalemu 2 nanyi mkabomoa nyumba ili kuimarisha ukuta. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And ye have numbered the houses of Jerusalem, and the houses have ye broken down to fortify the wall.

In Context

9mkaona kuwa Mji wa Daudi 2 una matundu mengi katika ulinzi wake, 1 mkaweka akiba ya maji 2 kwenye Bwawa la Chini. 1

11Mlijenga bwawa la maji katikati ya kuta mbili 2 kwa ajili ya maji ya Bwawa la Zamani, 1 lakini hamkumtazama Yule aliyelitengeneza, 2 au kuwa na heshima kwa Yule aliyeubuni tangu zamani za kale. 1

Read all of Isaiah 22

Cross References

2 Chronicles 11:11Akaimarisha ulinzi wake na kuweka majemadari ndani yake, pamoja na ghala za mahitaji ya vyakula, mafuta ya zeituni na divai.

Jeremiah 33:4Kwa maana hili ndilo Bwana, Mungu wa Israeli, asemalo kuhusu nyumba katika mji huu na majumba ya kifalme ya Yuda yaliyobomolewa ili yatumiwe dhidi ya kule kuzungukwa na jeshi na upanga

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 22:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 22:9Isaiah 22Isaiah 22:11 →