The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 24 › Isaya 24:16

Isaya 24:16

Kutoka miisho ya dunia tunasikia uimbaji: 2 “Utukufu kwa Yule Mwenye Haki.” 1 Lakini nilisema, “Ninadhoofika, ninadhoofika! 2 Ole wangu! 1 Watenda hila wanasaliti! 2 Kwa hila watenda hila wanasaliti!” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

From the uttermost part of the earth have we heard songs, even glory to the righteous. But I said, My leanness, my leanness, woe unto me! the treacherous dealers have dealt treacherously; yea, the treacherous dealers have dealt very treacherously.

In Context

15Kwa hiyo upande wa mashariki mpeni Bwana utukufu, 2 liadhimisheni jina la Bwana, Mungu wa Israeli, 2 katika visiwa vya bahari. 1

17Hofu, shimo na mtego vinakungojea, 2 ewe mtu ukaaye duniani. 1

Read all of Isaya 24

Cross References

Psalms 2:8Niombe, nami nitayafanya mataifa 2 kuwa urithi wako, 2 miisho ya dunia kuwa milki yako. 1

Psalms 58:10Wenye haki watafurahi waonapo wakilipizwa kisasi, 2 watakapochovya nyayo zao katika damu ya waovu. 1

Psalms 72:8Atatawala kutoka bahari hadi bahari 2 na kutoka Mto + 72:8 Yaani Mto Frati. mpaka miisho ya dunia. 1

Psalms 106:15Kwa hiyo aliwapa kile walichoomba, 2 lakini akatuma juu yao ugonjwa wa kudhoofisha. 1

Isaiah 6:5Ndipo nikalia, “Ole wangu! Nimeangamia! Kwa kuwa mimi ni mtu mwenye midomo michafu, nami ninaishi katikati ya watu wenye midomo michafu, nayo macho yangu yamemwona Mfalme, Bwana Mwenye Nguvu Zote.”

Isaiah 17:4“Katika siku ile utukufu wa Yakobo utafifia, 2 unono wa mwili wake utadhoofika. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 24:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 24:15Isaya 24Isaya 24:17 →