Isaya 24:17
Hofu, shimo na mtego vinakungojea, 2 ewe mtu ukaaye duniani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Fear, and the pit, and the snare, are upon thee, O inhabitant of the earth.
In Context
Cross References
Leviticus 26:21“ ‘Kama mtaendelea kuwa na uadui nami, na kukataa kunisikiliza, nitawazidishia mateso yenu mara saba zaidi, kama dhambi zenu zinavyostahili.
Jeremiah 8:3Popote nitakapowafukuzia, mabaki wote wa kizazi hiki kiovu watatamani kufa kuliko kuishi, asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.’ 1 Dhambi Na Adhabu
Jeremiah 48:44“Yeyote atakayeikimbia hiyo hofu kuu 2 ataanguka ndani ya shimo, 1 yeyote atakayepanda kutoka shimoni, 2 atanaswa katika mtego, 1 kwa sababu nitaletea Moabu 2 mwaka wa adhabu yake,” 4 asema Bwana. 1
Amos 5:19Itakuwa kama vile mtu aliyemkimbia simba 2 kumbe akakutana na dubu, 1 kama vile mtu aliyeingia nyumbani mwake 2 na kuupumzisha mkono wake kwenye ukuta, 2 kumbe akaumwa na nyoka. 1