Isaya 25:12
Atabomoa kuta ndefu za maboma yako 2 na kuziangusha chini, 1 atazishusha chini ardhini, 2 mpaka mavumbini kabisa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 14:23“Nitaifanya kuwa mahali pa bundi, 2 na kuwa nchi ya matope; 1 nitaifagia kwa ufagio wa maangamizi,” 2 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 Unabii Dhidi Ya Ashuru
Isaiah 26:5Huwashusha wale wajikwezao, 2 huushusha chini mji wenye kiburi, 1 huushusha hadi ardhini 2 na kuutupa chini mavumbini. 1
Jeremiah 51:58Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo: 1 “Ukuta mnene wa Babeli utasawazishwa, 2 na malango yaliyoinuka yatateketezwa kwa moto; 1 mataifa yanajichosha bure, 2 taabu ya mataifa ni nishati tu ya miali ya moto.”
Ezekiel 28:17Moyo wako ukawa na kiburi 2 kwa ajili ya uzuri wako, 1 nawe ukaiharibu hekima yako 2 kwa sababu ya fahari yako. 1 Kwa hiyo nikakutupa chini; 2 nimekufanya kioja mbele ya wafalme. 1
Hebrews 11:30Kwa imani kuta za Yeriko zilianguka, baada ya watu kuzizunguka kwa siku saba.