Isaiah 25:6
Juu ya mlima huu Bwana Mwenye Nguvu Zote ataandaa 2 karamu ya vinono kwa mataifa yote, 1 karamu ya mvinyo wa zamani, 2 nyama nzuri sana na divai zilizo bora sana. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 63:5Nafsi yangu itatoshelezwa 2 kama kwa wingi wa vyakula; 1 kwa midomo iimbayo 2 kinywa changu kitakusifu wewe. 1
Psalms 78:68lakini alilichagua kabila la Yuda, 2 Mlima Sayuni, ambao aliupenda. 1
Song of Solomon 1:2Unibusu kwa busu la kinywa chako, 2 kwa maana upendo wako unafurahisha kuliko divai. 1
Song of Solomon 2:3Kama mti wa mtofaa miongoni mwa miti ya msituni 2 ndivyo alivyo mpenzi wangu 2 miongoni mwa wanaume vijana. 1 Ninafurahia kuketi kivulini mwa mwanaume huyu, 2 na tunda lake ni tamu kwangu. 1
Isaiah 1:19Kama mkikubali na kutii, 2 mtakula mema ya nchi, 1
Isaiah 25:10Mkono wa Bwana utatulia juu ya mlima huu, 2 bali Moabu atakanyagwa chini 2 kama majani makavu yakanyagwavyo kwenye shimo la mbolea. 1