The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 1 › Isaiah 1:19

Isaiah 1:19

Kama mkikubali na kutii, 2 mtakula mema ya nchi, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

If ye be willing and obedient, ye shall eat the good of the land:

In Context

18“Njooni basi tuhojiane,” 2 asema Bwana. 1 “Ingawa dhambi zenu ni kama rangi nyekundu, 2 zitakuwa nyeupe kama theluji; 1 ingawa ni nyekundu sana kama damu, 2 zitakuwa nyeupe kama sufu. 1

20lakini kama mkikataa na kuasi, 2 mtaangamizwa kwa upanga.” 4 Kwa kuwa kinywa cha Bwana kimenena. 1

Read all of Isaiah 1

Cross References

Leviticus 25:19Kisha nchi itazaa matunda yake, nanyi mtakula na kushiba na kuishi humo kwa salama.

Leviticus 26:5Kupura nafaka kwenu kutaendelea mpaka wakati wa kuvuna zabibu. Pia kuvuna zabibu kutaendelea mpaka wakati wa kupanda mbegu, nanyi mtakula na kushiba, na mtaishi salama katika nchi yenu.

Isaiah 3:10Waambie wanyofu itakuwa heri kwao, 2 kwa kuwa watafurahia tunda la matendo yao. 1

Isaiah 55:2Kwa nini kutumia fedha kwa kitu ambacho si chakula, 2 na kutaabikia kitu kisichoshibisha? 1 Sikilizeni, nisikilizeni mimi na mle kilicho kizuri, 2 nazo nafsi zenu zitafurahia utajiri wa unono. 1

Isaiah 58:14ndipo utakapojipatia furaha yako katika Bwana, 2 nami nitakufanya upande juu ya miinuko ya nchi 1 na kusherehekea urithi wa Yakobo baba yako.” 4 Kinywa cha Bwana kimenena haya.

Jeremiah 7:3Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli: Tengenezeni njia zenu na matendo yenu, nami nitawaacha mkae mahali hapa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 1:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 1:18Isaiah 1Isaiah 1:20 →