Isaya 25:9
Katika siku ile watasema, 2 “Hakika huyu ndiye Mungu wetu; 2 tulimtumaini, naye akatuokoa. 1 Huyu ndiye Bwana, tuliyemtumaini; 2 sisi tushangilie na kufurahia katika wokovu wake.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 9:14ili niweze kutangaza sifa zako 2 katika malango ya Binti Sayuni 2 na huko niushangilie wokovu wako. 1
Psalms 21:1Ee Bwana, mfalme huzifurahia nguvu zako. 2 Tazama jinsi ilivyo kuu furaha yake 2 kwa ushindi unaompa! 1
Psalms 33:20Sisi tunamngojea Bwana kwa matumaini, 2 yeye ni msaada wetu na ngao yetu. 1
Psalms 37:5Mkabidhi Bwana njia yako, 2 mtumaini yeye, naye atatenda hili: 1
Psalms 62:1Kwa Mungu peke yake nafsi yangu inapata pumziko; 2 wokovu wangu watoka kwake. 1
Psalms 95:1Njooni, tumwimbie Bwana kwa furaha; 2 tumfanyie kelele za shangwe 2 Mwamba wa wokovu wetu. 1