Psalms 21:1
Ee Bwana, mfalme huzifurahia nguvu zako. 2 Tazama jinsi ilivyo kuu furaha yake 2 kwa ushindi unaompa! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The king shall joy in thy strength, O LORD; and in thy salvation how greatly shall he rejoice!
In Context
2Umempa haja ya moyo wake 2 na hukumzuilia maombi ya midomo yake. 1
Cross References
Psalms 20:5Tutashangilia kwa furaha utakaposhinda, 2 tutainua bendera zetu kwa jina la Mungu wetu. 1 Bwana na akupe haja zako zote. 1
Psalms 28:7Bwana ni nguvu zangu na ngao yangu, 2 moyo wangu umemtumaini yeye, 2 nami nimesaidiwa. 1 Moyo wangu unarukaruka kwa furaha 2 nami nitamshukuru kwa wimbo. 1
Psalms 62:7Wokovu wangu na heshima yangu viko kwa Mungu, 2 ndiye mwamba wangu wenye nguvu 2 na kimbilio langu. 1
Psalms 71:17Ee Mungu, umenifundisha tangu ujana wangu, 2 hadi leo ninatangaza matendo yako ya ajabu. 1
Psalms 99:4Mfalme ni mwenye nguvu na hupenda haki, 2 wewe umethibitisha adili; 1 katika Yakobo umefanya 2 yaliyo haki na sawa. 1
Isaiah 9:6Kwa maana, kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, 2 tumepewa mtoto mwanaume, 2 nao utawala utakuwa mabegani mwake. 1 Naye ataitwa 2 Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, 2 Baba wa Milele, Mfalme wa Amani. 1