Isaiah 28:16
Kwa hiyo hivi ndivyo Bwana Mwenyezi asemavyo: 1 “Tazama, ninaweka jiwe katika Sayuni, 2 jiwe lililojaribiwa, 1 jiwe la pembeni la thamani kwa ajili ya msingi thabiti. 2 Yeye atumainiye kamwe hatatiwa hofu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 49:24Lakini upinde wake ulibaki imara, 2 mikono yake ikatiwa nguvu, 1 na mkono wa Mwenye Nguvu wa Yakobo, 2 kwa sababu ya Mchungaji, Mwamba wa Israeli, 1
Psalms 112:7Hataogopa habari mbaya, 2 moyo wake ni thabiti, ukimtegemea Bwana. 1
Isaiah 8:14naye atakuwa mahali patakatifu; 2 lakini kwa nyumba zote mbili za Israeli atakuwa 1 jiwe lile linalosababisha watu kujikwaa 2 na mwamba wa kuwaangusha. 1 Kwa watu wa Yerusalemu, 2 atakuwa mtego na tanzi. 1
Daniel 2:45Hii ndiyo maana ya maono ya jiwe lililochongwa kutoka mlimani, lakini si kwa mikono ya mwanadamu, lile jiwe ambalo lilivunja chuma, shaba, udongo wa mfinyanzi, fedha na dhahabu vipande vipande. “Mungu Mkuu amemwonyesha mfalme kile kitakachotokea wakati ujao. Ndoto hii ni ya kweli na tafsiri yake ni ya kuaminika.”
Zechariah 3:9Tazama, jiwe nililoliweka mbele ya Yoshua! Kuna macho saba juu ya jiwe lile moja, nami nitachora maandishi juu yake,’ asema Bwana Mwenye Nguvu Zote, ‘nami nitaiondoa dhambi ya nchi hii kwa siku moja.
Matthew 21:42Yesu akawaambia, “Je, hamjasoma katika Maandiko kwamba: 1 “ ‘Jiwe walilolikataa waashi 2 limekuwa jiwe kuu la pembeni. 1 Bwana ndiye alitenda jambo hili, 2 nalo ni la ajabu machoni petu’?