Isaiah 28:17
Nitaifanya haki kuwa kamba ya kupimia 2 na uadilifu kuwa timazi; 1 mvua ya mawe itafagia kimbilio lenu, huo uongo, 2 nayo maji yatafurikia mahali penu pa kujificha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 9:18Kwa hiyo, kesho wakati kama huu nitaleta mvua mbaya sana ya mawe ambayo haijapata kunyesha katika nchi ya Misri, tangu siku ilipoumbwa mpaka leo.
2 Kings 21:13Nitanyoosha juu ya Yerusalemu kamba ya kupimia iliyotumika dhidi ya Samaria, na timazi iliyotumika dhidi ya nyumba ya Ahabu. Nitaifutilia mbali Yerusalemu kama mtu afutaye sahani, nikiifuta na kuifunikiza.
Psalms 94:15Hukumu itasimamishwa tena kwenye haki, 2 wote walio na mioyo minyofu wataifuata. 1
Isaiah 10:22Ingawa watu wako, ee Israeli, ni wengi kama mchanga wa pwani, 2 ni mabaki yao tu watakaorudi. 1 Maangamizi yamekwisha amriwa, 2 ni mengi tena ni haki. 1
Isaiah 28:2Tazama, Bwana anaye mmoja aliye na uwezo na nguvu. 2 Kama dhoruba ya mvua ya mawe na upepo uharibuo, 1 kama mvua inyeshayo kwa nguvu na mafuriko yashukayo, 2 atakiangusha chini kwa nguvu. 1
Isaiah 30:28Pumzi yake ni kama mkondo wa maji yaendayo kasi, 2 yakipanda hadi shingoni. 1 Hutikisa mataifa katika chekecheke ya uharibifu, 2 huweka lijamu katika mataya ya mataifa 2 ambayo huwaongoza upotevuni. 1