Isaya 28:25
Akiisha kusawazisha shamba, 2 je, hatapanyi mbegu za bizari na kutawanya jira? 1 Je, hapandi ngano katika sehemu yake, 2 shayiri katika eneo lake, 2 na nafaka nyingine katika shamba lake? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
26Mungu wake humwelekeza 2 na kumfundisha njia iliyo sahihi. 1
Cross References
Exodus 9:31(Kitani na shayiri viliharibiwa, kwa kuwa shayiri ilikuwa na masuke, na kitani ilikuwa katika kutoa maua.
Matthew 23:23“Ole wenu walimu wa sheria na Mafarisayo, ninyi wanafiki! Kwa maana mnatoa zaka ya mnanaa, bizari na jira, lakini mmeacha mambo makuu zaidi ya sheria, yaani haki, huruma na uaminifu. Iliwapasa kufanya haya makuu ya sheria bila kupuuza hayo matoleo.