Isaya 28:24
Wakati mkulima alimapo ili apande, 2 je, hulima siku zote? 1 Je, huendelea kubomoa ardhi 2 na kusawazisha udongo? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Doth the plowman plow all day to sow? doth he open and break the clods of his ground?
In Context
23Sikilizeni msikie sauti yangu, 2 tegeni masikio na msikie niyasemayo. 1
Cross References
Jeremiah 4:3Hili ndilo asemalo Bwana kwa watu wa Yuda na kwa Yerusalemu: 1 “Vunjeni mabonge kwenye mashamba yenu, 2 wala msipande katikati ya miiba. 1