Isaiah 28:5
Katika siku ile, Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 atakuwa taji la utukufu, 1 taji zuri la maua 2 kwa mabaki ya watu wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 90:16Matendo yako na yaonekane kwa watumishi wako, 2 utukufu wako kwa watoto wao. 1
Isaiah 11:16Itakuwepo njia kuu kwa mabaki ya watu wake 2 wale waliosalia kutoka Ashuru, 1 kama ilivyokuwa kwa Israeli 2 walipopanda kutoka Misri.
Isaiah 41:16Utaipepeta, nao upepo utaichukua, 2 dhoruba itaipeperushia mbali. 1 Bali wewe utajifurahisha katika Bwana 2 na katika utukufu wa yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1
Isaiah 60:1“Ondoka, angaza, kwa kuwa nuru yako imekuja 2 na utukufu wa Bwana umezuka juu yako. 1
Isaiah 62:3Utakuwa taji ya fahari mkononi mwa Bwana, 2 taji ya kifalme mkononi mwa Mungu wako. 1
Zechariah 6:13Ni yeye atakayejenga Hekalu la Bwana, naye atavikwa utukufu na ataketi kumiliki katika kiti cha enzi naye atakuwa kuhani katika kiti chake cha enzi. Hapo patakuwa amani kati ya hao wawili.’