The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 28 › Isaiah 28:4

Isaiah 28:4

Lile ua linalosinyaa, uzuri wa utukufu wake, 2 uliowekwa kwenye kichwa cha bonde lenye rutuba, 1 litakuwa kama tini iliyoiva kabla ya mavuno: 2 mara mtu aionapo, huichuma na kuila. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the glorious beauty, which is on the head of the fat valley, shall be a fading flower, and as the hasty fruit before the summer; which when he that looketh upon it seeth, while it is yet in his hand he eateth it up.

In Context

3Lile taji la maua, kiburi cha walevi cha Efraimu, 2 kitakanyagwa chini ya nyayo. 1

5Katika siku ile, Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 atakuwa taji la utukufu, 1 taji zuri la maua 2 kwa mabaki ya watu wake. 1

Read all of Isaiah 28

Cross References

Isaiah 8:4Kabla mtoto hajaweza kusema ‘Baba yangu’ au ‘Mama yangu,’ utajiri wa Dameski na nyara za Samaria zitachukuliwa na mfalme wa Ashuru.”

Hosea 6:4“Nifanye nini nawe, Efraimu? 2 Nifanye nini nawe, Yuda? 1 Upendo wako ni kama ukungu wa asubuhi, 2 kama umande wa alfajiri utowekao. 1

Hosea 9:16Efraimu ameharibiwa, 2 mzizi wao umenyauka, 2 hawazai tunda. 1 Hata kama watazaa watoto, 2 nitawachinja watoto wao 2 waliotunzwa vizuri.” 1

Hosea 13:15hata ingawa Efraimu atastawi 2 miongoni mwa ndugu zake. 1 Upepo wa mashariki kutoka kwa Bwana utakuja, 2 ukivuma kutoka jangwani, 1 chemchemi yake haitatoa maji 2 na kisima chake kitakauka. 1 Ghala lake litatekwa 2 hazina zake zote. 1

Nahum 3:12Ngome zako zote ni kama mitini 2 yenye matunda yake ya kwanza yaliyoiva; 1 wakati inapotikiswa, 2 tini huanguka kwenye kinywa chake alaye. 1

Revelation 6:13Nyota zilizo angani zikaanguka ardhini kama vile matunda ya mtini yasiyokomaa yaangukavyo wakati mti wake unapotikiswa na upepo mkali.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 28:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 28:3Isaiah 28Isaiah 28:5 →