Isaya 3:12
Vijana wanawatesa watu wangu, 2 wanawake wanawatawala. 1 Enyi watu wangu, viongozi wenu wanawapotosha, 2 wanawapoteza njia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Ole kwa watu waovu! Maafa yapo juu yao! 2 Watalipwa kwa ajili ya yale mikono yao iliyotenda. 1
13Bwana anachukua nafasi yake mahakamani, 2 anasimama kuhukumu watu. 1
Cross References
2 Kings 11:1Wakati Athalia mamaye Ahazia alipoona kuwa mwanawe amekufa, akainuka na kuiangamiza jamaa yote ya mfalme.
Isaiah 3:4Nitawafanya wavulana wawe maafisa wao, 2 watoto ndio watakaowatawala. 1
Isaiah 28:14Kwa hiyo sikieni neno la Bwana, enyi watu wenye dharau 2 mnaotawala watu hawa wa Yerusalemu. 1
Micah 3:5Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kuhusu manabii wanaowapotosha watu wangu, 2 mtu akiwalisha, 2 wanatangaza ‘amani’; 1 kama hakufanya hivyo, 2 wanaandaa kupigana vita dhidi yake. 1
Matthew 15:14Waacheni; wao ni viongozi vipofu, wanaoongoza vipofu. Kama kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, wote wawili watatumbukia shimoni.”