Isaiah 3:4
Nitawafanya wavulana wawe maafisa wao, 2 watoto ndio watakaowatawala. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And I will give children to be their princes, and babes shall rule over them.
In Context
3jemadari wa kikosi cha watu hamsini 2 na mtu mwenye cheo, mshauri, 2 fundi stadi na mlozi mjanja. 1
Cross References
2 Chronicles 33:1Manase alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka hamsini na mitano.
2 Chronicles 36:2Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala, akatawala huko Yerusalemu kwa miezi mitatu.
2 Chronicles 36:9Yehoyakini alikuwa na miaka kumi na minane alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miezi mitatu na siku kumi. Akafanya yaliyo maovu machoni pa Bwana.
Ecclesiastes 10:16Ole wako, ee nchi ambayo mfalme wako alikuwa mtumwa 2 na ambayo wakuu wako hufanya karamu asubuhi. 1