The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 3 › Isaiah 3:21

Isaiah 3:21

pete zenye muhuri, pete za puani,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The rings, and nose jewels,

In Context

20vilemba, mikufu ya vifundo vya miguu, mshipi, chupa za manukato na hirizi,

22majoho mazuri, mitandio, mavazi, kifuko cha kutilia fedha,

Read all of Isaiah 3

Cross References

Genesis 24:47“Nikamuuliza, ‘Wewe ni binti wa nani?’ “Akasema, ‘Mimi ni binti wa Bethueli, mwana wa Nahori, Milka aliyemzalia.’ “Ndipo nilipotia pete puani mwake na bangili mikononi mwake,

Esther 8:12Siku ambayo iliwekwa kwa Wayahudi kufanya hili katika majimbo yote ya Mfalme Ahasuero ilikuwa siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kumi na mbili, yaani mwezi wa Adari.

Ezekiel 16:12nikaweka hazama puani mwako, vipuli masikioni mwako na taji nzuri sana kichwani mwako.

1 Timothy 2:9Vivyo hivyo nataka wanawake wajipambe kwa adabu na kwa heshima katika mavazi yanayostahili, si kwa kusuka nywele, kuvalia dhahabu, lulu au mavazi ya gharama kubwa,

1 Peter 3:3Kujipamba kwenu kusiwe kwa nje tu, kama vile kusuka nywele, kuvalia vitu vilivyofanyizwa kwa dhahabu na kwa mavazi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 3:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 3:20Isaiah 3Isaiah 3:22 →