Isaiah 30:1
Bwana asema, 2 “Ole kwa watoto wakaidi, 1 kwa wale wanaotimiza mipango ambayo si yangu, 2 wakifanya makubaliano, lakini si kwa Roho wangu, 2 wakilundika dhambi juu ya dhambi, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 32:14“Nanyi mko hapa, uzao wa wenye dhambi, mkisimamia mahali pa baba zenu na mkimfanya Bwana kuwakasirikia Waisraeli hata zaidi.
Deuteronomy 9:24Mmekuwa waasi dhidi ya Bwana tangu nilipowajua ninyi.
Joshua 9:14Basi watu wa Israeli wakavikagua vyakula vyao bila kupata shauri kutoka kwa Bwana.
2 Kings 18:24Utawezaje kumzuia hata afisa mmoja aliye mdogo kati ya maafisa wa bwana wangu, ijapo unategemea Misri kwa magari ya vita na wapanda farasi?
Psalms 61:4Natamani kukaa hemani mwako milele, 2 na kukimbilia chini ya uvuli wa mbawa zako. 1
Isaiah 1:2Sikieni, enyi mbingu! Sikilizeni, enyi dunia! 2 Kwa maana Bwana amesema: 1 “Nimewalisha watoto na kuwalea, 2 lakini wameniasi mimi. 1