The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 30 › Isaiah 30:2

Isaiah 30:2

wale washukao kwenda Misri 2 bila kutaka shauri langu, 1 wanaotafuta msaada wa ulinzi wa Farao, 2 watafutao kivuli cha Misri kwa ajili ya kimbilio. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

That walk to go down into Egypt, and have not asked at my mouth; to strengthen themselves in the strength of Pharaoh, and to trust in the shadow of Egypt!

In Context

1Bwana asema, 2 “Ole kwa watoto wakaidi, 1 kwa wale wanaotimiza mipango ambayo si yangu, 2 wakifanya makubaliano, lakini si kwa Roho wangu, 2 wakilundika dhambi juu ya dhambi, 1

3Lakini ulinzi wa Farao utakuwa kwa aibu yenu, 2 kivuli cha Misri kitawaletea fedheha. 1

Read all of Isaiah 30

Cross References

Deuteronomy 28:68Bwana atawarudisha tena Misri kwa meli, safari niliyosema kamwe hamngeenda tena. Huko mtajiuza ninyi wenyewe kwa adui zenu kama watumwa wa kiume na wa kike, lakini hakuna yeyote atakayewanunua.

Judges 9:15“Nao mti wa miiba ukaijibu, ‘Kama kweli mnataka niwe mfalme wenu, basi njooni mpate kupumzika chini ya kivuli changu. Lakini kama sivyo, moto na utoke kwenye mti wa miiba ukateketeze mierezi ya Lebanoni!’

2 Kings 17:4Lakini mfalme wa Ashuru akagundua kuwa Hoshea alikuwa msaliti, kwa kuwa alikuwa ametuma wajumbe kwa So mfalme wa Misri, naye hakuendelea kulipa ushuru kwa mfalme wa Ashuru tena kama alivyokuwa anafanya kila mwaka. Kwa hiyo Shalmanesa akamkamata na kumtia gerezani.

Isaiah 16:3“Tupeni shauri, 2 toeni uamuzi. 1 Wakati wa adhuhuri, 2 fanyeni kivuli chenu kama usiku. 1 Waficheni watoro, 2 msisaliti wakimbizi. 1

Isaiah 20:5Wale waliotegemea Kushi na kujivunia Misri wataogopa na kuaibika.

Isaiah 36:6Tazama sasa, unaitegemea Misri, fimbo ile ya mwanzi uliopasuka, ambayo huuchoma na kuujeruhi mkono wa mtu akiiegemea! Hivyo ndivyo alivyo Farao mfalme wa Misri, kwa wote wanaomtegemea.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 30:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 30:1Isaiah 30Isaiah 30:3 →