Isaiah 30:20
Ingawa Bwana huwapa chakula cha shida na maji ya taabu, walimu wenu hawatafichwa tena, kwa macho yenu wenyewe mtawaona.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 22:27Mkaseme, ‘Hivi ndivyo asemavyo mfalme: Mwekeni mtu huyu gerezani na asipewe chochote ila mkate na maji mpaka nitakaporudi salama.’ ”
Psalms 30:5Kwa maana hasira yake ni ya muda mfupi, 2 bali upendo wake hudumu siku zote. 1 Inawezekana kilio kiwepo usiku kucha, 2 lakini asubuhi kukawa na furaha. 1
Psalms 80:5Umewalisha kwa mkate wa machozi, 2 umewafanya wanywe machozi bakuli tele. 1
Psalms 127:2Mnajisumbua bure kuamka mapema 2 na kuchelewa kulala, 1 mkitaabikia chakula: 2 kwa maana yeye huwapa usingizi wapenzi wake. 1
Isaiah 51:14Wafungwa waliojikunyata kwa hofu 2 watawekwa huru karibuni; 1 hawatafia kwenye gereza lao, 2 wala hawatakosa chakula. 1
Ezekiel 24:22Nanyi mtafanya kama nilivyofanya. Hamtafunika sehemu ya chini ya nyuso zenu wala hamtakula vyakula vya kawaida vya waombolezaji.