Isaiah 30:33
Tofethi imeandaliwa toka zamani, 2 imewekwa tayari kwa ajili ya mfalme. 1 Shimo lake la moto limetengenezwa kwa kina kirefu 2 na kwa upana mkubwa, 2 likiwa na moto na kuni tele; 1 pumzi ya Bwana, 2 kama kijito cha kiberiti, 2 huuwasha moto.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 4:24Kwa kuwa Bwana Mungu wenu ni moto ulao, Mungu mwenye wivu.
Psalms 40:5Ee Bwana Mungu wangu, 2 umefanya mambo mengi ya ajabu. 1 Mambo uliyopanga kwa ajili yetu 2 hakuna awezaye kukuhesabia; 1 kama ningesema na kuyaelezea, 2 yangekuwa mengi mno kuyaelezea. 1
Isaiah 30:27Tazama, Jina la Bwana linakuja kutoka mbali, 2 likiwa na hasira kali inayowaka 2 pamoja na wingu zito la moshi, 1 midomo yake imejaa ghadhabu 2 na ulimi wake ni moto ulao. 1
Isaiah 37:38Siku moja, alipokuwa akiabudu katika hekalu la mungu wake Nisroki, wanawe Adrameleki na Shareza wakamuua kwa upanga, nao wakakimbilia nchi ya Ararati. Naye Esar-Hadoni mwanawe akawa mfalme badala yake.
Jeremiah 19:6Hivyo jihadharini, siku zinakuja, asema Bwana, wakati watu hawatapaita tena mahali hapa Tofethi ama Bonde la Ben-Hinomu, bali Bonde la Machinjo.
Ezekiel 32:22“Ashuru yuko huko pamoja na jeshi lake lote, amezungukwa na makaburi ya watu wake wote waliouawa, wale wote walioanguka kwa upanga.