Isaiah 33:13
Ninyi mlio mbali sana, sikieni lile nililofanya; 2 ninyi mlio karibu, tambueni uweza wangu! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Hear, ye that are far off, what I have done; and, ye that are near, acknowledge my might.
In Context
Cross References
Exodus 15:14Mataifa watasikia na kutetemeka, 2 uchungu utawakamata watu wa Ufilisti. 1
Joshua 9:9Nao wakamjibu: “Watumishi wako wametoka nchi ya mbali sana kwa ajili ya umaarufu wa Bwana Mungu wenu. Kwa kuwa tumesikia taarifa zake: hayo yote aliyofanya huko Misri,
Psalms 46:6Mataifa yanafanya ghasia, falme zinaanguka, 2 Yeye huinua sauti yake, dunia ikayeyuka. 1
Psalms 97:8Sayuni husikia na kushangilia, 2 vijiji vya Yuda vinafurahi 2 kwa sababu ya hukumu zako, Ee Bwana. 1
Psalms 99:2Bwana ni mkuu katika Sayuni; 2 ametukuzwa juu ya mataifa yote. 1
Psalms 148:14Amewainulia watu wake pembe, + 148:14 Pembe hapa inawakilisha mwenye nguvu, yaani mfalme. 2 sifa ya watakatifu wake wote, 2 ya Israeli, watu walio karibu na moyo wake. 1 Msifuni Bwana.