The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 33 › Isaya 33:12

Isaya 33:12

Mataifa yatachomwa kama ichomwavyo chokaa, 2 kama vichaka vya miiba vilivyokatwa ndivyo watakavyochomwa.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the people shall be as the burnings of lime: as thorns cut up shall they be burned in the fire.

In Context

11Mlichukua mimba ya makapi, 2 mkazaa mabua, 2 pumzi yenu ni moto uwateketezao. 1

13Ninyi mlio mbali sana, sikieni lile nililofanya; 2 ninyi mlio karibu, tambueni uweza wangu! 1

Read all of Isaya 33

Cross References

2 Samuel 23:6Lakini watu waovu wote 2 watatupwa kando kama miiba, 2 ambayo haikusanywi kwa mkono. 1

Isaiah 9:17Kwa hiyo Bwana hatawafurahia vijana, 2 wala hatawahurumia yatima na wajane, 1 kwa kuwa kila mmoja wao hamchi Mungu, nao ni waovu, 2 na kila kinywa kinanena upotovu. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1

Isaiah 10:17Nuru ya Israeli itakuwa moto, 2 Aliye Mtakatifu wao mwali wa moto; 1 katika siku moja utaunguza na kuteketeza miiba 2 na michongoma yake. 1

Isaiah 37:36Ndipo malaika wa Bwana akaenda, akawaua wanajeshi 185,000 katika kambi ya Waashuru. Wenzao walipoamka asubuhi yake, walikuta maiti kila mahali!

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 33:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 33:11Isaya 33Isaya 33:13 →