The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 33 › Isaiah 33:16

Isaiah 33:16

huyu ndiye mtu atakayeishi mahali pa juu, 2 ambaye kimbilio lake litakuwa ngome ya mlimani. 1 Atapewa mkate wake, 2 na maji yake hayatakoma. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He shall dwell on high: his place of defence shall be the munitions of rocks: bread shall be given him; his waters shall be sure.

In Context

15Yeye aendaye kwa uadilifu 2 na kusema lililo haki, 1 yeye anayekataa faida ipatikanayo kwa dhuluma 2 na kuizuia mikono yake isipokee rushwa, 1 yeye azuiaye masikio yake dhidi ya mashauri ya mauaji, 2 na yeye afumbaye macho yake yasitazame sana uovu: 1

17Macho yenu yatamwona mfalme katika uzuri wake 2 na kuiona nchi inayoenea mbali. 1

Read all of Isaiah 33

Cross References

1 Kings 19:6Akatazama pande zote, napo hapo karibu na kichwa chake palikuwepo mkate uliookwa kwenye makaa ya moto na gudulia la maji. Akala na kunywa, kisha akajinyoosha tena.

Psalms 18:33Huifanya miguu yangu kama miguu ya kulungu, 2 huniwezesha kusimama mahali palipo juu. 1

Psalms 34:10Wana simba wenye nguvu 2 hutindikiwa na kuona njaa, 1 bali wale wamtafutao Bwana 2 hawatakosa kitu chochote kilicho chema. 1

Psalms 62:7Wokovu wangu na heshima yangu viko kwa Mungu, 2 ndiye mwamba wangu wenye nguvu 2 na kimbilio langu. 1

Psalms 91:1Yeye akaaye mahali pa salama pake Yeye Aliye Juu Sana, 2 atadumu katika uvuli wake Mwenyezi. + 91:1 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. 1

Psalms 107:41Lakini yeye aliwainua wahitaji katika taabu zao, 2 na kuongeza jamaa zao kama makundi ya kondoo. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 33:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 33:15Isaiah 33Isaiah 33:17 →