Isaya 33:15
Yeye aendaye kwa uadilifu 2 na kusema lililo haki, 1 yeye anayekataa faida ipatikanayo kwa dhuluma 2 na kuizuia mikono yake isipokee rushwa, 1 yeye azuiaye masikio yake dhidi ya mashauri ya mauaji, 2 na yeye afumbaye macho yake yasitazame sana uovu: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 23:6“Usiwanyime haki watu wako walio maskini katika mashtaka yao.
Numbers 16:15Ndipo Mose akakasirika sana na kumwambia Bwana, “Usiikubali sadaka yao. Mimi sikuchukua chochote, hata punda kutoka kwao, wala sijamkosea hata mmoja wao.”
1 Samuel 12:3Mimi ninasimama hapa. Shuhudieni juu yangu mbele za Bwana na mpakwa mafuta wake. Nimechukua maksai wa nani? Nimechukua punda wa nani? Ni nani nimepata kumdanganya? Ni nani nimepata kumwonea? Ni kutoka kwenye mkono wa nani nimepokea rushwa ili kunifanya nifumbe macho yangu? Kama nimefanya chochote katika hivi, mimi nitawarudishia.”
1 Samuel 26:8Abishai akamwambia Daudi, “Leo Mungu amemtia adui yako mikononi mwako. Sasa niruhusu nimchome mpaka ardhini kwa pigo moja la mkuki wangu; sitamchoma mara mbili.”
Job 31:7kama hatua zangu zimepotoka kutoka kwenye njia, 2 kama moyo wangu umeongozwa na macho yangu, 2 au kama mikono yangu imetiwa unajisi, 1
Job 31:29“Kama nimeshangilia msiba wa adui yangu, 2 au kutazama kwa furaha taabu iliyomjia, 1