Isaiah 33:18
Katika mawazo yenu mtaifikiria hofu iliyopita: 2 “Yuko wapi yule afisa mkuu? 2 Yuko wapi yule aliyechukua ushuru? 2 Yuko wapi afisa msimamizi wa minara?” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Macho yenu yatamwona mfalme katika uzuri wake 2 na kuiona nchi inayoenea mbali. 1
Cross References
Genesis 23:16Abrahamu akakubali masharti ya Efroni, akampimia ile fedha aliyotaja masikioni mwa Wahiti: Shekeli 400 za fedha kulingana na viwango vya uzito vilivyokuwa vikitumika wakati huo na wafanyabiashara.
1 Samuel 30:6Daudi alihuzunika sana kwa sababu watu walikuwa wakisemezana juu ya kumpiga kwa mawe. Kila mmoja alikuwa na uchungu rohoni kwa sababu ya wanawe na binti zake. Lakini Daudi akajitia nguvu katika Bwana, Mungu wake.
2 Kings 18:14Basi Hezekia mfalme wa Yuda akamtumia ujumbe mfalme wa Ashuru huko Lakishi akisema: “Nimefanya makosa. Ondoka katika nchi yangu, nami nitakulipa chochote unachokitaka kwangu.” Mfalme wa Ashuru akamtoza Hezekia mfalme wa Yuda talanta 300 + 18:14 Talanta 300 za fedha ni sawa na tani 10. za fedha, na talanta thelathini + 18:14 Talanta 30 za dhahabu ni sawa na tani moja. za dhahabu.
Psalms 31:7Nitafurahia na kushangilia upendo wako, 2 kwa kuwa uliona mateso yangu 2 na ulijua maumivu ya nafsi yangu. 1
Psalms 71:20Ingawa umenifanya nipate taabu, nyingi na chungu, 2 utanihuisha tena, 1 kutoka vilindi vya dunia 2 utaniinua tena. 1
Isaiah 17:14Wakati wa jioni, hofu ya ghafula! 2 Kabla ya asubuhi, wametoweka! 1 Hili ndilo fungu la wale wanaotupora, 2 fungu la wale wanaotunyangʼanya mali zetu.